Mtu mmoja aliyejitolea kuhakikisha unapata burudani bora, salama, na ya bei nafuu kila siku.
Mwanzilishi na msimamizi mkuu wa RAMADOGO Entertainment. Mtu mmoja anayebeba ndoto kubwa ya kuleta burudani bora kwa Watanzania.
Mtaalamu wa ujenzi wa mifumo ya tovuti, malipo salama, na usalama wa data. Akili ya nyuma ya kila teknolojia kwenye Ramadogo.
Anahusika na kuchagua simulizi kali, Movies za kisasa, na kuhakikisha maudhui yanakidhi viwango vya juu.
Baadhi ya picha nyuma ya pazia za RAMADOGO.