Ilirekebishwa mwisho: Julai 15, 2026
Maudhui yote yanayopatikana kwenye jukwaa hili, ikijumuisha Movies, Games, na Simulizi za Sizani, yamepatikana na kununuliwa na RAMADOGO Entertainment nchini Tanzania. Sehemu ya Elimu ya Kiislamu ni BURE kabisa kwa watumiaji wote, bila kuhitaji kifurushi chochote cha malipo.
Ni marufuku kunakili, kusambaza, au kutumia maudhui haya nje ya jukwaa hili bila idhini ya maandishi kutoka RAMADOGO.
Ili kuhakikisha website hii inabaki hewani masaa 24, kuna gharama za uendeshaji ikiwemo kulipia Domain Name na Seva (Servers) zenye kasi ya juu.
Malipo unayoyafanya ya kifurushi (Subscription) ndiyo yanayowezesha huduma hii kuendelea. Wewe ndiye nguvu ya Ramadogo — mchango wako unatuwezesha kuleta maudhui mapya na bora zaidi kila siku.
Marufuku: Kutumia VPN kuvunjia mfumo, kushiriki nywila, kurekodi au kueneza maudhui yetu.
Mbali na maudhui ya burudani, RAMADOGO inatoa zana za ziada zinazotumia teknolojia ya AI na mifumo mingine ya kidijitali:
Tunalinda taarifa zako za kibinafsi kwa nguvu. Hatushirikishani taarifa zako na mtu wa tatu bila idhini yako, isipokuwa inapohitajika kisheria.
Ikiwa una swali, maoni, au changamoto yoyote, tafadhali wasiliana nasi:
Asante kwa kuichagua RAMADOGO Entertainment. Burudani yako, Fahari yetu.
← Rudi Nyumbani